Ikiwa ni week ya elimu kwa umma kuelekea siku ya kimataifa ya kupambana na usafirishaji haramu wa binadamu duniani tarehe 30.7.2022, TRI imewaleta Pamoja watekelezaji wa sheria Mkoani Mbeya kwa lengo la kuimarisha uwezo wao na kuimarisha mashirikiano baina Yao. Kwenye picha ni Mwenyekiti wa Board ya wakurugenzi wa TRI ndg Laurean Rugambwa Bwanakunu akizungumzia umuhimu wa mafunzo haya kwa wasimamizi wa sheria nchini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *