Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya SACP. Ulricho Matei amewataka washiriki wa Mafunzo ya kuzuia usafirishaji haramu wa binadamu kuhakikisha wanakwenda kuboresha utendaji wao katika maeneo yao ya kazi Ili kudhibiti uharifu huu. Amesema hayo Leo 13.07.2022 wakati akifungua Mafunzo yanayoendeshwa na shirika la Tanzania Relief Initiatives na kushirikiana na Wizara ya mambo ya Ndani ya Nchi kwa ufadhili wa Hans Seidel Foundation Jijini Mbeya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *