Washiriki wa mafunzo ya kuzuia na kupambana na usafirishaji haramu wa binadamu wakijadiliana katika kutambua viashiria vya mhanga wa Biashara haramu ya usafirishaji wa Binadamu. Waliweza kutambua mbinu za kubaini wahanga na kutambua wasafirishaji haramu wa binadamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *