Mkurugenzi wa @Tri ndg @… akiwasilisha mada kwa kamati kuu ya mradi wa SOTERIA unaoratibiwa na Ubalozi wa Uingereza @UKAID kwa ushirikiano na INTERPOL akieleza namna gani mashirikia binafsi yanaweza kuchangia ufanisi katika utekelezaji wa mradi wa SEAH ambao unalenga kudhibiti matendo ya ukatili wa kijinsia, udhalilishaji wa watoto na usafirishaji haramu wa binadamu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *