Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya kuzuia Usafirishaji haramu wa Binadamu wakifuatilia kwa kina mada kuhusu Ulinzi na usaidizi wa wahanga wa biashara hii haramu. Mafunzo haya yanafanyika Mkoani Singida yakiendeshwa na shirika la TRI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *