Katika picha ni Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara ACP. Nicodemus Simon Katembo ambaye alikuwa Mgeni rasmi katika ufunguzi wa mafunzo ya kupinga na kuzuia usafirishaji haramu wa Binadamu akiwa na maafisa waandamizi kutoka TRI na HSF muda mfupi baada ya kufungua mafunzo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *