TRI imepata ugeni wa ndg. Neil Abbot ambaye ni mratibu wa kitengo cha kuzuia makosa yanayovuka mipaka kutoka ubalozi wa Uingereza nchini Tanzani na kujadili maeneo ya kushirikiana juu ya mambo mbalimbali ya kuimarisha haki za binadamu, Demokrasia na utawala bora nchini Tanzania. Kwenye picha ni mkurugenzi wa TRI ndg. @prof.e_m na Neil abbott wa ubalozi wa UK nchini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *