Tanzania Relief Initiatives ikishiriki kwenye mkutano wa wadau wa Umoja wa Africa(AU) kuhuisha sera ya Africa ya kuzuia biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu nchini. Mkutano unafanyika Zanzibar 06-08 oktoba, 2021

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *