Naomba maoni yako kijana. Nini suluhisho la Panya road katika jiji la Dar es salaam?. Weka maoni yako. Atakae elezea hatua nzuri Za kuchukua Kama vijana kusaidia kutokomeza changamoto hii ataalikwa kutoa mada kwenye uzinduzi wa kampeni ya “kijana na Amani”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *